Habari,
Bila shaka uko poa. Mimi ni Freelancer na nauza mziki wangu kwenye majukwaa mengi ya kimuziki. Nimejiunga na Payoneer NIDA na kila kitu kimekubali shida kwenye Utility au Bank Statement.
Nishafanya ku-upload Bank Statement, utility ili wa-verify address wanavosema ila inakaa. Nikawa...