Wakuu salamu,
Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia.
Inaleta kitu kama hiki chini.
Lakini siwezi kuproceed na Payment.
Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi recently na Paypal?
Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni.
Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana.
Natanguliza shukrani.
Habari wadau wa biashara na ujasiliamali.
Labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal.
Katika mapitio yangu inaonekana Tanzania haijaanza kutumia huduma hii rasmi.
Kwa kutambua hilo naomba kujua...
Hello, habari zenu?
Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa for real kama Premise app nchini Tanzania anijuze. Nimetafuta nyingi Sana km Afrisight, Geopoll n.k sijapata jamani!!
Napenda kujishughulisha Sana hasa online survey through apps, website lakini sijapata zaid ya Premise...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.