paypal tanzania

  1. Paypal Tanzania kuna shida gani?

    Wakuu salamu, Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia. Inaleta kitu kama hiki chini. Lakini siwezi kuproceed na Payment. Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi recently na Paypal?
  2. Q

    Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Habarini!. Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
  3. Waziri Ndugulile, tunaomba uruhusu akaunti ya PayPal Tanzania

    Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni. Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana. Natanguliza shukrani.
  4. Naweza kufungua account ya kupokea kwa Paypal Tanzania kwa sasa?

    Habari wadau wa biashara na ujasiliamali. Labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal. Katika mapitio yangu inaonekana Tanzania haijaanza kutumia huduma hii rasmi. Kwa kutambua hilo naomba kujua...
  5. R

    Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa anisaidie

    Hello, habari zenu? Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa for real kama Premise app nchini Tanzania anijuze. Nimetafuta nyingi Sana km Afrisight, Geopoll n.k sijapata jamani!! Napenda kujishughulisha Sana hasa online survey through apps, website lakini sijapata zaid ya Premise...
  6. Paypal to Tigo Pesa Exchange

    Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…