pcb

DesignSpark PCB is a free electronic design automation software package for printed circuit boards. Although there is no charge for the software, the user must register with the website to unlock the program and it displays advertisements which must be acknowledged before the user can begin working.

View More On Wikipedia.org
  1. Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

    Salaam wana jukwaa. Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology). Binafsi tayari nazijua Tabora Boys, Ilboru, Mzumbe na Kibaha. Naomba kutajiwa nyingine zaidi.
  2. H

    PCB siyo tahasusi ya mchezo

    Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4. Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi. Cha...
  3. Kama umefaulu vizuri PCB kasomee Radiology au Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Wakuu kwema Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
  4. O

    Kifaaa gani cha bei chini ya laki 2 kinakuza PCB za simu wakati wa kusolder/ kudesolder

    Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
  5. Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

    Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu. Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
  6. Division two (10) PCB anaweza kupata ualimu UDSM?

    Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
  7. Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

    Maoni yako ni yepi juu ya hili: Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu. Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala...
  8. Z

    Mwalimu wa PCB pre form one anatafutwa. Mwanza mkolani

    Uwe na uwezo wa kufundishaa yote matatu pre form one. Npigie kweny number 0683669735
  9. Msaada kasoma pcb kwa matokeo haya a Hague kozi gani

    Physics C Chemistry C Biology D BAM D USHAURI tu Mana naona kozi za afya ni ngumu kutoboa
  10. Hii ndio Afrika tunayotaka

    Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G ama decoder ya TV tunaagizia kutoka nje, je ushawahi kuifungua hapo ndani uangalie vile ni very...
  11. Circuit and PCB design class

    Habari wadau. natoa ofa ya kuelekeza jinsi ya kudesign sakiti za kielectronic kwa wenye uhitaji. Gharama ni sawa na bure. 20000 tu kwa mwezi na ntafundisha kwa njia ya group, TELEGRAM na WHATSAPP. KUMBUKA: Hiyo gharama ni ndogo sana ukilinganisha na elimu unayopata. Najitolea kuhakikisha...
  12. A

    PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  13. A

    Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu? Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
  14. C

    PCB designers; 12V to 230 V DC-DC step up converter

    To PCB designers, I need a DC-DC converters At least 4-5A load support That means 1200 wattage max.
  15. TAMISEMI: Mwanafunzi Josephat John aliyevaa mabango hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB

    Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB OR-TAMISEMI,DODOMA Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye...
  16. R

    Nataka kusoma PCB mwaka mmoja

    Nataka kusoma PCB 1 year naombeni ushauri pia naomba kama unasoma au unaweza nisaidia notes au tuwasiliane plz
  17. PCB inanisumbua naombeni ushauri

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza Jamani ndugu wanaJF nilikua naomba ushauri jinsi gani nitaweza kuovercome hi depression na hii combination mana hata nikisoma naona Mambo yanaenda tofauti hususani kwenye chemistry .naomba ushauri wenu Mimi nipo kidato Cha tano
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…