pdf

Portable Document Format (PDF) is a file format developed by Adobe in 1993 to present documents, including text formatting and images, in a manner independent of application software, hardware, and operating systems. Based on the PostScript language, each PDF file encapsulates a complete description of a fixed-layout flat document, including the text, fonts, vector graphics, raster images and other information needed to display it.
PDF was standardized as ISO 32000 in 2008, and no longer requires any royalties for its implementation.PDF files may contain a variety of content besides flat text and graphics including logical structuring elements, interactive elements such as annotations and form-fields, layers, rich media (including video content), and three-dimensional objects using U3D or PRC, and various other data formats. The PDF specification also provides for encryption and digital signatures, file attachments, and metadata to enable workflows requiring these features.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Nafasi za kazi migodini pdf

    nafasi za kazi pdf nmewatumieni
  2. M

    Jinsi ya ya ku-edit pdf document

    Msaada jinsi ya kuedit pdf document
  3. Mwenye PDF ya ripoti ya sensa naomba tafadhali

    Sensa huwa ina mambo na taarifa nyingi ambazo hawawezi kuzitoa uwanjani. Mfano idadi ya watu kwa kila mji na kila kata. Naomba mwenye PDF yake anisaidie.
  4. Kitabu cha Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968) katika PDF

    KITABU CHA ABDUL SYKES KATIKA PDF Kitabu hiki kilichochapwa na Minerva Press London 1998 sasa kipo katika pdf. Nimeshindwa kupata link lakini nimewatumia watu wengi katika Whatsapp peaneni humo kwa humo na wenyewe kwa wenyewe mpate kukisoma kitabu hiki bure. Soma Kwa Furaha.
  5. Kwa hiki ninachokiona kwenye pdf za utumishi, kozi za afya na zenyewe ni kama zimeanza kujaa

    Nafasi moja au mbili ya medical doctor kugombaniwa na watu 600+ ni ishara kwamba tuna medical doctors wengi tu mtaani wako jobless.
  6. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  7. B

    Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

    Kigezo cha umri wa mwombaji na kigezo cha mwaka wa kuhitimu kwenye PDF aloitoa anaona kiko Sawa? 2015 kaachwa na 2021 kachukuliwa. Mathematics kuwa arts subjects? Wale watu wa TAMISEMI huwa wanatuona hamna kitu kichwani? Mnakatisha hamu vijana kusoma makusudi ili watoto wenu waendelea kula...
  8. Nafazi za kazi/ajira zinazotolewa na Serikali ni vyema zote kuwa katika mifumo ya PDF kama zinavyofanyika nyingine na kusambazwa

    Habarini Ndugu zangu, NAHITAJI MSAADA WENU KATIKA HILI 1. Ninapata changamoto hii ya suala zima la ANUWANI SAHIHI ya kujazwa kipindi natuma maombi ya kazi katika mfumo wa ajira portal. Mfano kuna baadhi ya post nafasi za kazi unakuta umeandikiwa moja kwa moja anuwani ya kuwasilisha maombi yako...
  9. Kilimo cha PDF - Parachichi

    Wadau karibuni muwekeze Njombe. Wewe toa pesa tu sisi tutakufanyia kila kitu, ikiwemo kununua hizo parachichi
  10. R

    SOFTWARE All PDF Reader

    App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti Unaweza kufanya yafuatayo Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF) Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers) Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf...
  11. Kubadilisha document ya PDF Jpeg

    Wakuu naomba maelekezo ya wapi naweza kwenda kupata msaada wa kubadilisha PDF doc ambayo iko kwenye format ya JPEG. Niko Dar na naweza kufanya Jumamosi 04/09 au Jumapili 05/09. JF Never Fail....
  12. Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  13. Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

    Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
  14. T

    Jamani ile PDF ndefu itatoka lini?

    Sasa hivi huku mtaani matumbo ya wateule walioko kwenye nafasi ya ngazi ya Wilaya, yanapata moto kila siku. Wanasubiri kwa hamu ili wajue mbivu na mbichi. Hawana utulivu wa mwili na nafsi hasa wale ambao wanahisi nafasi ya kurudishwa ni finyu kwao. Kwa upande mwingine, wale walio nje ya ulingo...
  15. Msaada wa mwenye PDF files za vitabu hivi

    Jamani yeyote mwenye link ya kuvipata vitabu mbalimbali ya Physics kwa class 12/ form six na vinginevyo atusaidie mana kuna link niliona humu mwezi uliopita ka sijakosea Ila saivi sioni. TAFADHALI JAMANI NI MUHIMU SANA LINK HIZO NAOMBENI HATA MWENYE FILES TU YA HIZO VITABU AWEKE HUMU.
  16. R

    Pdf activation inakataa, nisaidieni

    PDF inakataa kufanya kazi mpaka iwe activated. Nisaidieni nifanyeje iwe activated?
  17. Zijue Alama za barabarani pamoja na matumizi yake

    Zijue alama mbalimbali za barabarani na maana yake,zinaweza kuwa msaada kwako kwa namna moja ama nyingine
  18. Msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader

    Habari wana JF, Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Naombeni msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader. Natumia Window 10 Pro 32 bit. Natanguliza shukrani.
  19. M

    Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

    Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.
  20. Kitabu hiki hapa: Advanced Engineering Mathematics 10th Edition By ERWIN KREYSZIG (pdf)

    Ni kwa ajili ya watoto wote wanaosoma degree za B.Sc. Engineering.... na B.Sc. (Mathematics,....) MUBARIKIWE NA BWANA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…