Freenode, stylized as freenode and formerly known as Open Projects Network, is an IRC network which was previously used to discuss peer-directed projects. Their servers are accessible from the hostname chat.freenode.net, which load balances connections by using round-robin DNS.On 19 May 2021, Freenode underwent what some staff described as a "hostile takeover" and at least 14 volunteer staff members resigned. Following the events, various organisations using Freenode – including Arch Linux, CentOS, FreeBSD, Free Software Foundation Europe, Gentoo Linux, KDE, LineageOS, Slackware, Ubuntu, and the Wikimedia Foundation – moved their channels to Libera Chat, a network created by former Freenode staff. Others like Haiku or Alpine Linux moved to the Open and Free Technology Community (OFTC). By 16 August 2021, over a thousand projects had left Freenode.
Dkt. Noe Nnko
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi na mashirika kuwa makini katika matumizi ya taarifa za watu, kwani mtu yeyote ambaye taarifa zake zitatumika bila idhini anaweza kudai fidia ya hadi Sh. milioni 100, kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza Machi 1, 2025...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu kusambaza picha zake akiwa anacheza au jambo lolote.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi.
Akiwasilisha mada ya zana ya taarifa binafsi, Mkurugenzi wa usajili na Uzingatiaji wa PDPC, Stephen...
Wanabodi
Niko hapa Morena Hotel Morogoro kuwaletea live, warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi.
Karibuni.
====
Update ya Matukio
- MC wa event hii ni Innocent Prim Mungi, amemkaribisha Mwenyekiti wa Jukwaa la...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeongeza muda wa mwisho wa usajili kwa taasisi zote za umma na binafsi ambazo hazijajisajili kabisa na ambazo hazijakamilisha hadi kufikia tarehe 30 Aprili, 2025 baada ya muda wa usajili wa hiari kumalizika tarehe 31 Desemba, 2024 kama ilivyoelekezwa na...
Wakuu, salama huko mlipoamkia?
Naamini wengi wetu tumekuwa tukipokea matangazo kwenye simu zetu ya huduma ambazo hatujawi kuzitaka, na hujawahi kutoa namba yako na kuwaruhusu kukutumia matangazo hayo.
Tena wakati mwingine wanataja mpaka jina lako, mf. Habari Cute Wife, unajua unaweza...
Hapa chini ni nyaraka zenye taarifa binafsi za mtu ambaye anaonekana aliomba nafasi ya kazi mahali fulani, lakini baada ya nyaraka zake kuisha kuisha umuhimu wakazitelekeza kiholela. Sijui waliuza hizo karatasi au walitupa watu wakaokota, haieleweki. Ila sasa zinapatikana kwa akina mama wauza...
Ndugu zangu wa Tanzania,
Kuna kampuni inayotoa huduma za kukopesha pesa mtandaoni ambayo inajulikana kwa majina kadhaa katika aplikesheni zake, ambayo kwa ujumla hutumia jina la "Singularity". Sijawahi kukutana na kampuni inayoendeshwa hovyo kama hii! Nimekuwa nikikopa pesa mara kwa mara kutoka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atazindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, leo, Aprili 3, 2024, Ukumbi wa JNICC.
Tume hii ina majukumu muhimu kama kusimamia sheria na kushughulikia malalamiko. Muundo na taratibu za Tume zimekamilika na zinazingatia haki za faragha...
Hon. Nape Nnauye
"The Minister of Information, Communication and Information Technology, Hon. Nape Nnauye, has officially launched the Board of the Personal Data Protection Commission, urging it to perform its duties in accordance with the law, regulations, and guidelines set, and not based on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.