pegasus

Pegasus (Greek: Πήγασος, Pḗgasos; Latin: Pegasus, Pegasos) is a mythical winged divine horse, and one of the most recognized creatures in Greek mythology. Usually depicted as pure white, Pegasus is the offspring of the Olympian god Poseidon. He was foaled by the Gorgon Medusa upon her death, when the hero Perseus decapitated her. Pegasus is the brother of Chrysaor and the uncle of Geryon.
Pegasus was caught by the Greek hero Bellerophon, near the fountain Peirene, with the help of Athena and Poseidon. Pegasus allowed Bellerophon to ride him in order to defeat the monstrous Chimera, which led to many other exploits. Bellerophon later fell from the winged horse's back while trying to reach Mount Olympus. Afterwards, Zeus transformed Pegasus into the eponymous constellation.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoa Taarifa

    Pegasus yakutwa na hatia ya kudukua na kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Kampuni ya META imeshinda kesi iliyofunguliwa mwaka 2019 iliyokuwa ikiituhumu kampuni ya NSO Group ya Israel kutumia Programu yake ya 'Pegasus' kudukua mawasiliano ya Watumiaji wa Mtandao wa WhatsApp. Uamuzi wa Mahakama umetokana na kubaini kuwa NSO ilikiuka Sheria za Mkataba wa Ulinzi wa...
  2. K

    Pegasus nchini Rwanda: Namna Mamlaka zinavyotumia Programu hiyo kuchunguza Wanasiasa na watu mashuhuri

    Kifo cha ghafla cha Anne Rwigara tarehe 28 Desemba 2023, kiliwashangaza familia yake inayoishi huko California. Anne, mwenye umri wa miaka 41, alikuwa dada wa Diane Rwigara, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Rwanda ambaye aliwahi kujaribu kugombea urais. Anne, ambaye hakuwa na matatizo...
  3. Ricky Blair

    Pegasus house

    Kuna hii company inaitwa Pegasus House ipo Kariakoo; inapeleka watu abroad kw trips kw exposure for business etc and cheap price; before sijapoteza hela; Nataka ushauri wenu km hawa watu wapo legit. Plz niambieni mnalojua
  4. The Sheriff

    Serikali na Matumizi ya Programu za Udukuzi na Upelelezi: Ongezeko la Tishio kwa Ulinzi wa Faragha na Haki za Binadamu

    Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
  5. BARD AI

    Pegasus Spyware: Ni nini na Inafanyaje kazi?

    Serikali duniani kote zinakabiliwa na madai ya kutisha kwamba zilitumia programu hasidi iliyotengenezwa na Israel kwaajili ya kupeleleza simu za wanaharakati, waandishi wa habari, wasimamizi wa mashirika na wanasiasa. Lakini je, spyware ya Pegasus inafanya kazi vipi hasa? Je, inaingiaje kwenye...
  6. Sam Gidori

    Apple yaifungulia mashtaka kampuni inayomiliki Pegasus

    Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake. Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO yanakuja wakati kampuni hiyo ikikabiliwa na msukosuko wa madai kuwa maelfu ya wanaharakati, waandishi...
  7. The Sheriff

    Apple watengeneza programu ya kuzuia udukuzi unaoweza kufanywa kwa vifaa vyake bila ya mtumiaji kubonyeza 'link'

    Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
  8. Analogia Malenga

    Ijue Pegasus, software inayotumika kuwadukua wanaharakati na wanahabari

    Pegasus ni jina linalomaanisha Farasi Mwenye mbawa. Ambalo ni namna ya kuonesha kuwa software hiyo inafanya kazi kama Farasi wa Matrojan(Trojan Horse) lakini yeye anaweza kupaa. Software ya Pegasus imegundulika 2018 na kampuni ya Israel ya NSO inauwezo wa kudukua hadi iOS 14.6. Kampuni...
  9. lee Vladimir cleef

    Israel na Pegasus spyware

    Dah Mimi sio mtaalam kabisa wa mambo haya. Mambo ya udukuzi.lakini nimeingiwa na hofu Sana. Pegasus Ni kifaa kilichotengenezwa na kampuni binafsi ya Israel. Pegasus spyware inaweza kupenya kwenye simu za smart na kufyonza ujumbe wote,picha zote na kurekodi mazungumzo. Pegasus imeshatumika...
  10. Analogia Malenga

    Programu ya Israel ya ‘Pegasus’ yatumika kuwafuatilia waandishi wa vyombo 15

    Mamlaka zimelalamikiwa kuitumia vibaya ‘malware’ ya Israel ya Pegasus ambayo imetumika kufuatilia waandishi wa Habari na wanaharakati Software hiyo inatengenezwa na kampuni ya ulinzi ya Israel ya NSO ambayo inauwezo wa kudukua simu janja na kuchukua kila kitu kwenye simu Baadhi ya waandishi...
  11. beth

    Ni kwanini watumiaji wa WhatsApp India wameagizwa kupakua programu mpya?

    Shirika kuu la usalama wa mtandao nchini India, Cert, imewaomba watumiaji wa mtandao wa WhatsApp kupakua programu mpya ( ya hivi punde) katika simu zao baada ya kugundua kuwa kulikuwa na programu mpya ya udukuzi katika programu ya awali ya ujumbe wa programu hiyo. Programu hiyo ya software...
Back
Top Bottom