===
MBOWE HAJAONGOKA NA KUBATIZWA KATIKA DEMOKRASIA, UTAWALA BORA NA USTAARABU WA MWANADAMU
Ukimsikiliza Mbowe katika Mahojiano yake na Salim Kikeke, unagundua huyo Mzee bado ni MPORI-PORI hajui Dunia inaelekea wapi.
Mbowe ana Mentality ngumu sana kueleweka na watu wenye akili timamu. Mtu...
habari ya wakati huu jamii forum
leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena,
Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
Salaam
Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha.
Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
Hapa kuna baadhi ya maswali ambayo unaweza kujiuliza ili kujielewa vizuri zaidi:
* Je, unapendelea kuwa peke yako mara nyingi?
* Je, unajisikia vizuri zaidi unapokuwa na watu wengine?
* Je, unaogopa kukataliwa?
* Je, unajisikia peke yako au umetengwa?
* Je, una matatizo yoyote ya afya ya...
Habari za jioni wakuu, naomba kuuliza, DP world amepewa aendeshe Bandari ya Dar Pekee au zimo na za mikoani pamoja na Tanga na Mtwara?
Pia kampuni ya MRC pale bandarini inajihusisha na Nini?
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA
Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran...
Kiongozi wa Ukraine anahimiza ulimwengu kuungana dhidi ya Moscow
Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake - Zelensky
Vladimir Zelensky wa Ukraine ameitaka jumuiya ya kimataifa kufanya kazi pamoja dhidi ya Urusi, akisisitiza kwamba hakuna taifa linaloweza kunusurika vita na...
Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake.
Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya maoni ya wahasibu, amelazimisha apewe hela za mishahara za watumishi wa chama ili yeye na genge lake...
Habari za Leo wapenda soccer?
Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
Huwa nashangaa mtu anapata pesa anabaki na mawazo mengi kichwani yaani in short anaitesa pesa yake anaipa changamoto pesa yake kazi yake inakuwa ni kutatua tu matatizo mara ya wagonjwa mara ya madeni.
Sikatai kutumia pesa kwenye shida ila usijisahau babu kula kidogo sheikh kula kuku au safari...
Ukichelewa au ukihairisha utatakiwa kuongeza pesa ya ziada kufidia ili uingie kwenye manifest ya ndege nyingine siku nyingine au saa nyingine kama kutakuwa na nafasi. Hii haina shida maana sio uzembe wao ni wa abiria.
Ila sasa wao nao wanapohairisha safari au kusogeza mbele muda kwa sababu...
Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake.
Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...
Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya.
Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
Hakuna Haja ya Salaam Maana naona kama hili swala halijakaa sawa sana..
Kila nikifungua TV au Redio nasikia nakuona Serikali ikieleza Athari za Mvua ya Elnino na Athari zote zikielekezwa kwa Wananchi..
Na serkali ikifika mpaka kutishia wananchi wanaoishi Bondeni kwamba hakutakuwa na Malipo wala...
Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi.
Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana.
Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania.
Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...