Tanzania kama nchi tujiulize ni kwanini suala kubwa na linalohusu wengi kama rushwa liachiwe Rais pekee.
Yaani suala la rushwa linabidi liwe la kimfumo na sio la kiongozi mmoja tu wa nchi.
Watanzania inabidi sisi tutoe tu mawazo na kupiga kelele kwenye rushwa na tutake majibu. Mfano kama huna...