pembejeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada katika biashara ya pembejeo za kilimo

    Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja
  2. NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  3. J

    SoC03 Kilimo cha kisasa Tanzania

    Tanzania ni moja ya nchi zenye kilimo kikubwa barani Afrika na inachukuwa kama nguzo moja wapo ya uchumi wa nchi.Takribani asilimia 75 ya Watanzania wanajishughulisha na kilimo kinachotegemea mvua.Mazao yanayo limwa nchini ni pamoja na mahindi,mpunga,maharage,nyanya,viazi,mboga mboga matunda...
  4. Mbunge Condester Sichalwe aishauri Wizara ya Kilimo kufungua dirisha ili Wakulima wapate Pembejeo mapema

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
  5. N

    Je, ni kweli kuwa Utajiri unapatikana Shambani?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika. Kupitia mpango huu wa BBT, kila kijana anapata fursa ya kuijenga kesho yake iliyo bora. Wakati suala la ajira likiwa changamoto...
  6. Mbeya: Walioghushi vocha za pembejeo za kilimo wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama ya Wilaya Kyela Mkoani Mbeya, Septemba 1, 2022 ilitoa hukumu ya mashauri mawili. Kwanza ni Shauri ya Jinai Na.91/2021 (R v Never Black Mwakalinga na Holdin Jaji), ambapo mshtakiwa wa kwanza Bi. Never Black Mwakalinga alikuwa Wakala wa Pembejeo za Kilimo katika Kijiji cha Mwaya na...
  7. L

    SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
  8. E

    SoC02 Changamoto nilizopitia kufika nilipo sasa kwenye kilimo

    JIna langu naitwa Elly kijana wa miaka 31 sasa nina elimu ya Diploma ya masoko, chuo nilimaliza mwaka 2013 ila wakati nikiwa katika masomo nimekuwa katika ajira zilizoweza kuniwezesha kujikimu kimaisha kwa udogo wake na pia kunisaidia kulipa ada. Baada ya kumaliza nikiwa ndani ya ajira...
  9. Don K. “Mayaula Mayoni”, kiongozi wa Genge la wahalifu wa Pembejeo na bei ya korosho mikoa ya Kusini

    Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni. Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa sauti yetu sisi wakulima wa korosho. Ambao hatuhitaji korosho nyingi ila tunahitaji soko bora la...
  10. Chunyu Ruangwa, Lindi: Msaada wa pembejeo za korosho unapewa chupa moja na nusu

    Sina maneno mengi Swali langu kwa Mheshimiwa waziri wa kilimo mimi nina mikorosho zaidi ya 40 wengine wana mikorosho zaidi ya 100 lakini unapewa chupa moja ya salfa ya maji na chupa moja ya wadudu mnagawana nusu kwa nusu watu wawili. Kama lengo kumsaidia mkulima chupa moja na nusu itamsaidia kweli?
  11. Zoezi la ugawaji wa pembejeo kwa wakulima, RC Mtwara wabane sana viongozi wa vyama vikuu vya ushirika kuna mchezo wanaucheza

    Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika. Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza. Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa...
  12. L

    Makampuni ya China yaimarisha kilimo vijijini barani Afrika kwa pembejeo nafuu na bora

    Na Kelly Ogome Zaidi ya nusu ya wakazi wa Afrika wanategemea kilimo. Ripoti ya benki ya dunia ya mwaka wa 2018 inaeleza kuwa asilimia 4% ya pato jumla la dunia linatokana na kilimo, huku nchi zinazoendelea kama za Afrika zikitegemea kilimo kwa zaidi ya asilimia 25%. Aidha ukame, mvua kidogo...
  13. N

    Eti ni kweli kuna mafunzo napaswa nipite ili nifungue duka la pembejeo za kilimo?

    Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo, Na kama yapo je hugharimu kiasi gani cha gedha na kwa muda gani na yanapatikana wapi hayo mafunzo...
  14. Natafuta Mashine ya kupandia nafaka

    Habari wanajukwaa, Naomba kufahamishwa ninapoweza kupata hii mashine ya kupandia mbegu kama alizeti, ufuta, mahindi nk. Seed Planter Video Eneo nilipo ni Dar es salaam. Ni vyema zaidi tukafahamishana na gharama iwapo inajulikana.
  15. W

    Rais Samia amepiga 'hat trick' kwenye Korosho

    Na Emmanuel J. Shilatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya Wakulima. I: PEMBEJEO Rais Samia ametatua kilio cha Wakulima cha pembejeo ambapo Safari hii pembejeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…