Mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappe amechoshwa na mfumo wa kutumika kama mshambuliaji wa kati jambo ambalo anaamini kuwa imesababisha kuwa na mwanzo mbaya Madrid.
Kylian Mbappe ameomba atumike pembeni anakocheza Vinicius Jr akiamini ndio mahali ambapo hucheza vizuri, Amesema kutumika kama...