pengo

The pengő (Hungarian: [ˈpɛŋɡøː]; sometimes written as pengo or pengoe in English) was the currency of Hungary between 1 January 1927, when it replaced the korona, and 31 July 1946, when it was replaced by the forint. The pengő was subdivided into 100 fillér. Although the introduction of the pengő was part of a post-World War I stabilisation program, the currency survived for only 20 years and experienced the most serious case of hyperinflation ever recorded.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

    Nitaeleza kwa kifupi sana. Maelezo ukiona ni marefu basi soma Paragraph ya Mwisho! Ugeni uliofanyika kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo kuu la DSM Kard. Pengo unatoa taarifa nzito kabisa katika Ulimwengu wa kiroho tofauti na malengo ya Gwajima na Makonda yalivyo. Ugeni huo uliojumuisha watu wawili...
  2. K

    Pengo la Mkapa ni kubwa sana wakati huu

    Magufuli hakuna mtu hata mmoja anaweza kukaa naye na kumueleza ukweli bila kuna na mahitaji binafsi. Mzee Mwinyi: Anachojali ni mtoto wake kuwa rais zanzibar Kikwete: Anajali mtoto na mke wake familia inatamaa haiwezi kupumzika😂. Mama Salma hawezi hata kutoa hoja masikini Mkapa pekee ndiye...
  3. Uchaguzi 2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

    Tukiwaambia kuwa Slaa na Lowassa ndio waliipaisha CHADEMA kisiasa Chadema wanajifanya kubisha Lakini ushahidi wa wazi umeanza kuonekana CHADEMA siku Kama hizi miaka ya akina Slaa na Lowassa Chadema mitaani kote kulipambwa bendera za Chadema na kila Kona nyimbo za CHADEMA Chadema people's power...
  4. Mimi sio mfuasi wa Gwajima lakini kumshambulia Pengo alikuwa sawa. Wapinzani acheni unafiki

    Kweli naamini mpinzani mpinzani tu,hata anaweza kupingana na mama yake kuhusu baba yake halisi. Mimi sio mwanasiasa,sina chama ni staff. Tujikumbushe Gwajima alikua wapi wakati anamshambulia mzee Pengo,katika utawala wa Kikwete Gwajima alikua mnazi haswa wa upinzani. Kilichofanya amshambulie...
  5. Paul Makonda amtaka Gwajima afike ofisini kwake kutolea ufafanuzi juu ya kumkashifu Pengo

    Wakati- Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemtaka aripoti ofisini kwake keshokutwa kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kumkashifu kiongozi mwenzake wa dini. Juzi, Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…