15 February 2025
Ikwiriri, Rufiji
Tanzania
BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA
NI KODI ZETU
https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E
Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya...
Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!
Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000
Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr).
Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi linafanyika baada ya kupita karibu miaka 10 i.e. enzi za Rais Kikwete na Waziri Mkuya walipoongeza...
Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?. Tuna maisha magumu na pensheni ndiyo tegemeo letu ili maisha yasonge mbele. HAZINA ifanye hima ili tupate pensheni zetu.
1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0...
It is a pity kuwa wazee hawa walikuwa na mahali pa kupata advance ya pensheni yao sasa mmeiondoa na kubakia salary advance. Kwanini salary advance imebaki na kuondoa pensheni advance? kwanini mmeiondoa tena bila taarifa.
Watatafuta benki ambayo itawarudisha kwenye service hiyo.
Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao.
Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka.
Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha.
Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
Tangu July, 2015 wakati wa utawala wa Rais Kikwete kima cha chini cha Pensheni za wastaafu hakijawahi kuongezwa kutoka Tsh. 100,000/=.
Tokea 2023 Waziri Mwigulu amekuwa akiongelea zoezi la mapitio ya mifuko ya pensheni na kuwapa matumaini kwamba jambo hili linafanyiwa kazi lkn tumeona juzi...
Hawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba.
Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni (8.89b TZS).
Watu wanaendelea ku-enjoy kama hakuna kilichotokea. Kikotoo ndo hicho.
NB: Mjini mipango, deni la Watanganyika
Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc.
Waziri mwenye dhamana ni nani?
Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na mpo kimya tu?!
Pensheni ni mali yenu na sio msaada kutoka serikalini, mnapaswa kuelewa kuwa...
Leo ni tarehe 9.1.2024 Wastaafu wa Serikali za Mitaa wanaolipwa na Hazina hawajapata pensheni yao ya Desemba, 2023. (1) Je, Serikali ina hali mbaya ya kifedha? (2) Je, Serikali haijui ni haki yetu? (3) Je, Serikali haioni ni kipaumbele chake kuwalipa wastaafu? Tunaomba tulipwe kwani ni haki yetu.
DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi.
DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa)
DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa)
Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato.
Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
Kila mtu siku moja atakuwa mzee. Nguvu tulizo nazo hazitadumu daima; kutembea kwa nguvu, kufikiri kwa kasi, macho yetu kuona mbali, vyote; uwezo wake utayoyoma na kupungua kabisa. Huo ndio utakuwa uzee. Tutahitaji msaada wa mkongojo kutembea, msaada wa watu kutusaidia katika yale tuliyokuwa...
RAIS DKT. MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu kwa asilimia mia moja akitolea mfano wa mstaafu wa kima cha chini anayepokea shilingi elfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.