Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr).
Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi linafanyika baada ya kupita karibu miaka 10 i.e. enzi za Rais Kikwete na Waziri Mkuya walipoongeza...
Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA.
Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je, Serikali imeishiwa fedha?
Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu.
Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana.
Pension hizi huwafaa wastaafu katika maswala mbali mbali kama chakula, matibabu na nk.
Hivyo kitendo cha kuchelewesha pension hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.