Leo tumeshuhudia miaka 60 ya jeshi letu, tumefurahi, tumekunywa na tumekula. Hongereni sana.
Changamoto yangu katika jeshi letu limewasahau wazee wetu waliopigana vita vya Kagera pasipo kuwapa japo kifutia jasho cha vita. Leo wazee wetu hawana hata shughuli za kufanya zaidi ya kusubiri kifo tu...