Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!
Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000
Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
Ilisemwa semwa kuwa mmefilisika , mfuko una hali mbaya. Muda wote pensheni za wastaafu zinalipwa 23/ ya kila mwezi ithout miss. sasa mwezi jana na huu, mambo hayako sawa.
Samia, hawa ndio wa kuwatumbua, siyo mashirika ha habari chini ya TTCL kwa kumpongeza Nape
PSSSF sema kama mmefilisika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.