pensheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar: Rais Mwinyi apandisha Pensheni kwa Wastaafu na Wazee

    RAIS DK.MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu kwa asilimia mia moja akitolea mfano wa mstaafu wa kima cha chini anayepokea shilingi elfu...
  2. Je, mstaafu akifariki pensheni anaendelea kupewa mwenza wake au nayo inakoma?

    Habari zenu bhana Naomba niende moja kwa moja najua ntapata wajuzi wa kunishauri. Baba yangu alikua mwalimu kabla hajastaafu. So alikua anapokea penshen ile ya kila mwezi mpaka alipofariki mwaka juzi 2021. Alifariki akiwa na miaka 74. Ile penshen iliingia kwa miezi mitatu tuu then ikakoma. Na...
  3. Mshahara wa mfanyakazi huwa unapungua kila mwaka bila ya yeye mwenyewe kuelewa

    Mshahara wa mfanyakazi na wengine wenye kipato fixed kama wapokea pension huwa unapungua kila mwaka. Kinachokula mshahara wa watu hawa ni mfumuko wa bei. Kwenye mfumuko wa bei thamani ya pesa huwa inapungua. Mfumuko wa bei wa 5% maana yake pesa imepungua nguvu kwa asilimia tano. Kama unapata...
  4. M

    Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Hivi miaka ya 70 na 80 mshahara wa askari polisi C.P.L., ulikuwa pesa ngapi? Na kipindi hicho pensheni zao zilifika hadi pesa ngapi baada ya kustaafu?
  5. Pensheni na kikokotoo: Usichokijua kuhusu uzuri wa kikokotoo, kwa mafanikio na bata la uzeeni

    Lengo zima la mifuko ya jamii ni kumkinga na kumlinda mwanachama wake dhidi ya majanga. Majanga ni vitu vyoote vinavyoweza kuondoa au kupunguza uwezo wa mtu kuzalisha. Moja ya janga kubwa ni UZEE.Tunaliita ni janga kwasababu tunaamini huna uwezo wa kuzalisha na kuchangia kiuchumi kama...
  6. R

    Kwenu BAKITA, KISHIKWAMBI ikimaanisha Tablet imetoka wapi? IE The science of the origin of a word kishikwambi

    Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet Mfano, Tablet: Etymology. From Middle English tablet, from Old French tablete (Modern French tablette)...
  7. Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

    Salaam Wakuu, Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani. malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
  8. M

    Wakumbukeni Wastaafu wa umma pia. Ongezeni Pensheni zao

    Napenda kumpongeza sana Rais Samia kwa maamuzi aliofikia ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali Mungu akubariki. Aidha napenda kuwakumbusha kwamba kusahau ni kwa binadamu, wastaafu waliotumikia serikali na kujenga misingi yake, baadhi yao bado wako hai. Pesheni zao ni ndogo sana na...
  9. K

    OMBI: Wastaafu na sisi tunaomba tufikiriwe kwenye tunachopokea

    Leo nimesoma kupitia mtandao wa kijamii kuwa Rais ameongeza mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa kuongeza 23% kwa kima cha chini. Ninauliza, Je na sisi Wazee wa pensheni tuko kwenye mfumo huo? Ichukuliwe kuwa maisha yamepanda kwa kila mtu na wengine ile pensheni ya mkupuo...
  10. Waziri Ndalichako: Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Himilivu. Agoma kupokea taarifa kuhusu ripoti ya CAG

    Leo waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, Kazi, Ajira na wenye ulemavu akiwa Bungeni amekanusha mifuko ya hifadhi ya Jamii kutokuwa himilivu. Alipohojiwa na Esther Bulaya juu ya ripoti ya CAG kusema vinginevyo, ameendelea kushikilia msimamo wake kwa madai ripoti hiyo inaishia June 2021. Waziri...
  11. K

    Wastaafu tunamshukuru Rais Samia, pensheni inaingia kwa wakati

    Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani. Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema. Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
  12. USHAURI: Watumishi wakopeshwe pensheni yao kwa riba ndogo au bila riba badala ya kutegemea mikopo ya mabenki yenye riba kubwa

    Ukifikiria kiundani utagundua mtumishi anufaiki sana na mkopo anaokopa, wanufaika wakubwa wa mikopo kwa wafanyakazi ni mabenki/taasisi zinazohusika na ukopeshaji kupitia faida inayotokana na riba, mikopo inapelekea chanzo cha Maisha magumu kwa watumishi waliowengi huku ikiwaacha wakopeshaji wa...
  13. PSSSF Mfuko wa pensheni kwanini hampokei simu na hamjibu email

    Sio busara hata kidogo, leo imetulazimu watu kama wa 3 hivi kwenda ofisini kwao baada ya simu za meneja kutopokelewa juzi tuliandika sms na pamoja na kuwapa check namba watuangalizie pensheni na mafao yatakuwa tayari lini, tulipofika ofisini hawana majibu. Leo waziri Mkuu ametangaza bungeni...
  14. Wastaafu wa PSSSF mnaotarajia kustaafu mjipange msitegemee kulipwa haraka mafao na pensheni

    Niwasaidie tu wanao tegemea kustaafu kuanzia mwezi huu wa 9 na kuendelea, natumai ma tamko ya Mawaziri na Marais wawili aliyepita na aliyeko madarakani mlisikia kabisa wakisema na kusisitiza watu walipwe mapema akiwemo Waziri ambaye ni mbunge wa Jimbo la Peramiho. Hakuna utekelezwaji hadi leo...
  15. Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  16. PSSSF malipo ya pensheni kwa awamu haifai mkiri tu kwamba hamna pesa

    Tatizo hili lili watokea wengi ma askari waliokuwa wanalipwa pensheni miaka ya nyuma awamu ya tano, kwa uzoefu tulijua pensheni hulipwa zote sasa hii habari imekuwa ni kikwazo sana kwa mtu anayetaka kufanya maendeleo ya haraka. Kwann PSSSF msitoe tangazo rasmi kuwa pesa hamna vizuri maan...
  17. SoC01 USHAURI: Matumizi sahihi ya Fedha za Pensheni kwa Wastaafu

    Fedha za pensheni ni malipo anayopewa mwajiriwa (mfanyakazi) baada ya kustaafu kazi/ajira yake. Huwa ni fedha nyingi ukilinganisha na fedha ambazo huyo mfanyakazi/mwajiriwa aliwahi kumiliki hapo kabla. Wastaafu wengi kutapeliwa Hivi karibuni kumezuka matukio mbalimbali yakiwahusisha wastaafu...
  18. Waziri Jenister Mhagama kumbuka ahadi yako kuhusu pensheni ya PSSSF kwa watumishi siku ya Sabasaba

    Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu. Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
  19. Waziri Simbachawene, Watumishi wako hawajalipwa pensheni kama mlivyoahidi

    Mhe. Waziri, Watumishi wako wana miezi 3 hawajalipwa nauli za kwenda majumbani kwao baada ya kustaafu. Watumishi wako wana miezi 4 toka wastaafu hawajalipwa Pensheni na mliahidi na Jenister Mhagama kuwa mtarahisisha malipo ya pensheni kuchukua muda mchache sana, pamoja na kujaza fomu zote na...
  20. Wazee wote wapewe pensheni

    Hello JF, Leo nimejikuta nafikiria uzee na changamoto zake, hasa kwa wazee waliokua nje ya mfumo wa ajira rasmi kama mafundi, housegirls/ boys, wafanyabiashara ndogo ndogo n.k ni sehemu ningependa kuchunguza wanaishije katika uzee especially wale wa Dar es Salaam na Miji mingine mikubwa ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…