Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka
Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza...
Nakumbuka niliwahi kuingia kwenye mahusiano na binti mmoja wa ki Arusha ambae tulijuana kupitia social media, yeye alikua Arusha na mimi nilikuwa Dar es Salaam.
Huyu binti kwanza alikuwa ananikera kitu kimoja, anapenda sana video call sasa sijui alikuwa anataka kugundua nini.
Ingawa nilikuwa...
Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,
Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
Inshallah Mungu ajalie January 1, 2023 naanza na penzi jipya la mtoto wa kisagara. Ni hatari sana hii mashine nafungua mwaka kivingine. New year New mashine new show. Nyota ya "Pisi mpakato" imesoma matokeo ya chumvi bahari na maombi ya upako yameweka neema kama zote.
Ni hayo tu kwa uchache...
Mara baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mpenzi wangu kwa muda mrefu usiopungua mwaka na miezi kadhaa nilijaribu kutafuta suluhu kadri ya uwezo wangu na haikufua dafu.
Nilipata msongo wa mawazo juu ya suala hilo kwani sikuwahi kufanya udanganyifu, hata kumjibu vibaya lakini amebadilika na...
Kume kuwa na hulka flan hiv ya mahusiano pindi yanapofika kikomo wahusika wawili Bado hubakia na namba ya ex wake kwenye simu kwa kigezo kuwa eti kuachana sio ugomvi.
Pindi wanapoingia kwenye mahusiano mapya still bado wanazo namba za maex zao. Binafsi sidhani kama ni sahihi kama...
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
MWACHE AENDE !
• Wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.