Mkali wao: Unajua Penny nimemiss sana penzi la Nginjanginja?
Money penny: Ambalo ni lipi?
Mkali wao: Penzi la vurugu, penzi la kila sehemu mnaweka kikao, penzi la huku na kule, penzi la harakaharaka, slow slow, kifupi ngijanginja.
Money Penny: Bado umeniacha mbali.
Mkali wao: Penzi la...