Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni hazina ungano kwa Sasa.
Mimi binafsi nimepata changamoto katika maombi ya mkopo. Ambapo ninaambiwa...
Kiuhalisia mfumo huu ulipaswa uwe unapandisha score automatically baada ya mtumishi kupandisha asilimia zake na mkuu wa kitengo ku approve.
Sasa badala yake kunamtu amekaa amewekwa awe anapandisha score baada ya approval ya mkuu wa unit.
Serikali hapa imebugi human akikaa sehem lazima...
Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu.
Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
Anonymous
Thread
idara
mfumo
mfumo wa pepmis
morogoro
pepmis
viongozi
vizuri
watumishi
Hello!
Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo palepale basi watumishi hawataki usumbufu kabisa. Hata ubunifu hakuna.
Unakuta ofisi leo inaomba...
Habari za wakati wajumbe.
Hili suala la PEPMIS naona kwa mtazamo wangu kama lina maswali mengi sana kuliko majibu.
Japo lengo la serikali ni zuri kabisa, la kutumia mifumo ya tehama na teknolojia kufanya performance appraisal lakini niishie kusema kwa mfumo huu naona kabisa halitatimia.
Kuna...
Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki
Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa busy je, ikiwa watumishi watajaza kila wiki itakuwaje? Wananchi mjipange.
Jambo jingine. Serikali igawe laptops kwa watumishi wote maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.