pepmis

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    KERO PEPMIS changamoto watumiaji wapewe taarifa

    Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni hazina ungano kwa Sasa. Mimi binafsi nimepata changamoto katika maombi ya mkopo. Ambapo ninaambiwa...
  2. Kuna Halmashauri zinawaweka watu fulani kujaza alama. Score za Pepmis huu ni uhuni

    Kiuhalisia mfumo huu ulipaswa uwe unapandisha score automatically baada ya mtumishi kupandisha asilimia zake na mkuu wa kitengo ku approve. Sasa badala yake kunamtu amekaa amewekwa awe anapandisha score baada ya approval ya mkuu wa unit. Serikali hapa imebugi human akikaa sehem lazima...
  3. A

    KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
  4. Serikali iunde Taasisi ya Usimamizi na Ukaguzi kwa Watumishi wa Umma. Hii PEPMIS tunawekeana 90% maisha yanakwenda, hakuna mabadiliko ofisi za umma

    Hello! Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo palepale basi watumishi hawataki usumbufu kabisa. Hata ubunifu hakuna. Unakuta ofisi leo inaomba...
  5. Suala la PEPMIS: Serikali ikae chini ikatafakari upya

    Habari za wakati wajumbe. Hili suala la PEPMIS naona kwa mtazamo wangu kama lina maswali mengi sana kuliko majibu. Japo lengo la serikali ni zuri kabisa, la kutumia mifumo ya tehama na teknolojia kufanya performance appraisal lakini niishie kusema kwa mfumo huu naona kabisa halitatimia. Kuna...
  6. Kuanzia Julai 2024 watumishi watakuwa busy kujaza PEPMIS. Mnaotaka huduma ofisi za umma kazi mnayo

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa busy je, ikiwa watumishi watajaza kila wiki itakuwaje? Wananchi mjipange. Jambo jingine. Serikali igawe laptops kwa watumishi wote maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…