Wakuu hongereni na majukumu, ya kujijenga binafsi lakini na Taifa kwa ujumla..
Kwa mara nyingine tena kwenye jukwaa letu pendwa naomba tuangalie muundo wa Toyota Altezza..
Mimi binafsi, napenda sana muonekana wa Altezza kuanzia nje na ndani pia, umbo lake, ground clearance lakini pia ufanisi...