peponi

"Paradise" is a song by the British rock band Coldplay, released on 12 September 2011 as the second single from their fifth album, Mylo Xyloto. The song received its radio debut at 7:50 a.m. on The Chris Moyles Show (BBC Radio 1) on 12 September 2011. According to Coldplay's official website, the single was not initially chart eligible in the United Kingdom, because it was available on iTunes as an "instant grat" (immediate download) when pre-ordering the album. Following the release of the album on 30 October 2011, the song became chart eligible in the UK and entered the UK Singles Chart at number 14, before taking the number 1 spot on its tenth week, becoming the band's second number-one single after "Viva la Vida" in 2008. The song was met with positive reviews, and was the best selling rock song of 2011 in the United Kingdom, selling 410,000 copies.On 30 November, the song was nominated for a Grammy Award, in the category Best Pop Duo/Group Performance. On 12 February 2012, Coldplay performed "Paradise" live at the RE, along with "Princess of China". At the 2012 MTV Video Music Awards on 6 September, the song won the award for Best Rock Video. Following the 2012 Stanley Cup playoffs on CBC, the song was featured in a yearly finale montage on CBC recapping the Stanley Cup Playoffs as well as British and American television advertisements and trailers for the Academy Award winning film Life of Pi which was nominated for 11 Academy Awards.

View More On Wikipedia.org
  1. CEO Barbara anaingia moja kwa moja "peponi"

    Ikiwa habari ya kesho ni hii basi huyu dada anatakiwa kuingia moja kwa moja peponi. Msije kuniua, nimetumia lugha ya picha tu. Nachotaka kusema kocha ametafuniwa kila kitu!
  2. Kwanini ukimuuliza mtu yeyote kama yeye ni wa motoni au wa peponi, anakujibu hajui

    Kwa mtazomo wangu najua kila mtu anajua yeye ni wa motoni au wa peponi. Kwasababu unaposema hujui wew utaenda wapi maana yake huyatambui mema na mabaya Asanteni. Nawasilisha
  3. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
  4. N

    Ishi kifukara, uende peponi!

    Ukitaka kwenda peponi baada ya kifo chako, basi, sali, tenda matendo mema na ISHI KIFUKARA! Ndio, namaanisha! Fanya kazi yoyote halali lakini sehemu kubwa ya kipato chako kitumie kutimiza wajibu wako na hakika kusaidia masikini! Huwezi kutumikia mabwana ( masters) wawili, so they say...
  5. Kwanini pepo ni jitu baya na peponi ni sehemu nzuri?

    Utamsikia mchungaji akisema '' nakutoa hili PEPO baya la umalaya uache dhambi ili ufike PEPONI''. Mida hii ninatoka Nyegezi mida fulani nitakuwa Dom.
  6. Mwanamke akiingia peponi, wanaume wote hatuna dhambi

    Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume Tuanze na MAUMBILE Mwanamke Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
  7. M

    Ally Bananga: Nikifika mbinguni (peponi) nikikuta Mama Samia hayupo natoka peponi

    Kunausemi unasemaga ukistaajabu ya Musa. Leo katika jiji la Arusha aliyekuwa kamanda wa chama cha Demcrasia na Maendeleo Chadema Ally Bananga alirudisha kadi ya chama hicho katika mkutana mkubwa wa adhala wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Hassan, Kamanda huyo wa zamani...
  8. Ipi ni lugha sahihi katika ya marehemu alale mahali pema peponi au marehemu alale panapostahili ?

    Mara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba. Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili Nini hasa...
  9. Kiongozi aliewahamasisha Yanga kusimamia kanuni ana nafasi yake peponi

    Katika kitu ambacho kiliniumiza nafsi ni mechi ya Mei 8 kuahirishwa. Lakini kutokana na msimamo wa ligi ulivyo sasa. Naamini katika ule msemo wa mabeberu "Everything happens for a reason". Hivi ni nani kati yetu alietambua kua furaha ambayo Wanasimba tungeipata Mei 8 si lolote kama furaha ambayo...
  10. Ee Mungu iweke roho yake mahali pema peponi

    Ooh, ni huzuni, ni majonzi, ni maombolezo. Mwenzetu ametutoka akiwa bado kijana. Alikuwa mwema sana, tena mkarimu. Hakupenda ugomvi, fitina wala chuki. Hakuwa mchoyo wala bahili. Wote waliokuwa wakimuomba awakopeshe pesa, walipewa mikopo tena bila masharti. Na wale walioshindwa kurudisha mikopo...
  11. Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

    Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake. Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
  12. M

    Riwaya: Wahuni Wote Peponi

    Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati Imetolewa: Mei, 2020 Mawasiliano: 0713538427 MOJA MIADI! Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…