Tetanus (Pepopunda) ni ugonjwa unaosababishwa na sumu inayotokana na maambukizi ya bakteria wanaoitwa Clostridium tetani ambao hupatikana kwa wingi kwenye ardhi, vumbi na vinyesi vya wanyama.
Vimelea hivi huingia mwilini kupitia sehemu za ngozi ya mwili iliyo wazi, kitendo chochote kinacho...