Kama mnavyojua mwisho wa mwaka huu mambo ni mengi sn sasa jn baada ya kutoka kwenye event fulani hapa mjini huku nikiwa nimepiga mtungi wa kutosha, nikiwa njiani narudi home nikakutana na pisi nikaona isiwe tabu ngoja nirushe ndoana.
Mungu sio othman dan fodio % fulani ile ndoana haikutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.