Flight permits are permits or permission required by an aircraft to overfly, land or make a technical stop in any country's airspace. All countries have their own regulations regarding the issuance of flight permits as there is generally a payment involved. The charges normally payable would be the Route Navigation Facility Charges or RNFC for overflights and also landing and parking charges in case of aircraft making halts. The procedure for issuance of these permits also varies from country to country. More details regarding these can be taken from the respective country's civil aviation authority websites.
Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
Habari ya jioni wakuu.
Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao.
Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee.
Kama unaweza kutukwamua...
Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam,
Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki hizo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya.
Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika...
Habari wakuu, nipo Tz kwa Sasa, naomba utaratibu wa kupata work permit nchini Uiingereza.
Niliomba kazi huko kupitia agency online ambayo iko registered na home affairs ya UK, nikafanya interview na nimetumiwa job offer na kutakuwa kuisaini, Kisha niwafowadie work permit ili watume nauli na...
Tanzania tuna ajira chache Sana zilizobaki Mana serikali haijaajiri mda mrefu Sasa kinachonisikitisa na hawa waganda na wakenya wanafundisha mashule hapa tz na wamekuja kwa wingi Sana hawana hata working permit.
Wamiliki wa shule za private wameamua kuajiri hao kwa sababu ya kingereza tu. Sasa...
Habarini wanajukwaa, niko hapa mbele yenu nahitaji msaada wa mtu yeyote mwenye idea ya study permit ya South Africa 🇿🇦 au hata ambaye aliyekwishwa omba na kuipata. Je ni Nini kitakufanya uipate au pia ukose visa hiyo. Huwa wanaangalia sana documents gani wakati wa ukaguzi ( submission ) wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.