personal data protection

The Personal Data Protection Act 2012 ("PDPA") sets out the law on data protection in Singapore. The PDPA regulates the processing of personal data in the private sector.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Morogoro: Warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wanabodi Niko hapa Morena Hotel Morogoro kuwaletea live, warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi. Karibuni. ==== Update ya Matukio - MC wa event hii ni Innocent Prim Mungi, amemkaribisha Mwenyekiti wa Jukwaa la...
  2. Roving Journalist

    Data Privacy Day: JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub kufanya Mjadala kuhusu Sera za Akili Mnemba (AI) Januari 28, 2025

    Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba. Tanzania na Afrika kwa ujumla inashuhudia mapunduzi makubwa ya Teknolojia ikiwemo Teknolojia ya Akili Mnemba ambapo...
  3. Suley2019

    Namibia: Kampuni ya Simu inayomilikiwa na Serikali yadukuliwa, taarifa za Wateja zavujishwa, Tanzania tupo salama kiasi gani?

    Wakuu, Wahenga wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji, Wenzetu Namibia yamewakuta, sisi tunajipanga vipi? Taarifa kamili hizi hapa chini: --- Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja...
  4. Cute Wife

    Umeshawahi kupokea matangazo ya kubeti na hujawahi kuomba huduma zao? Unajua pa kushtaki ulipwe kwa wizi huo wa taarifa zako?

    Wakuu, salama huko mlipoamkia? Naamini wengi wetu tumekuwa tukipokea matangazo kwenye simu zetu ya huduma ambazo hatujawi kuzitaka, na hujawahi kutoa namba yako na kuwaruhusu kukutumia matangazo hayo. Tena wakati mwingine wanataja mpaka jina lako, mf. Habari Cute Wife, unajua unaweza...
  5. J

    Kivinjari Salama: Miongozo 5 Bora ya Kulinda Faragha Yako ya Kidijitali

    Kadiri biashara zinavyozidi kuelekea kwenye majukwaa ya kidijitali, uwepo wetu mtandaoni na shughuli zetu zimekuwa muhimu kwa kazi zetu za kila siku. Pamoja na ongezeko la uhalifu wa mtandao, kulinda taarifa kutokana na ulaghai na vitisho vya mtandaoni ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Kulinda...
  6. Yoda

    Serikali ondoeni utaratibu wa wageni kuandikisha taarifa zao katika hoteli, lodge na gesti

    Huu utaratibu wa wageni kutakiwa kujiandikishaa kwenye kitabu vya wageni vinavyofanana na vitabu vya mahudhurio ya wanafunzi kwenye hoteli, lodge na guest ni wa kijima au kishamba sana na umepitwa na wakati. Ni utaratibu mbovu kwa usalama na usiri wa mteja. Hii ndio sababu mojwapo inayopelekea...
  7. J

    Haya ni mambo ya kuzingatia uwapo mtandaoni ili kulinda taarifa zako binafsi kutumiwa vibaya na watu wenye nia ovu

    Wapendwa wana JamiiForums, Tunafurahia kuwa sehemu ya jamii yetu inayoheshimu faragha yenu kwa kuwaruhusu kutumia majina bandia ili kuwa huru kutoa maoni yenu na kushiriki mijadala kwa namna mbalimbali. JF kama mitandao mingine ya kijamii inakutanisha watu wa aina mbalimbali, wenyewe nia...
  8. M

    SoC04 Impact of the Personal Data Protection Act on businesses in Tanzania

    As the number of organizations that process personally identifiable information increases, so does the need for such organizations to ensure the safety and privacy of data. It is essential for organizations to implement a data protection framework that provides guidance on the protection of...
  9. Informer

    Data Protection Act Amendment in the Finance Bill is classic “big brother”, illegal and must be rejected by the National Assembly and Kenyans

    Nairobi, 23 May 2024: Amnesty International Kenya and ARTICLE 19 Eastern Africa express deep concern with Clause 63 of the Finance Bill (2024), which seeks to exempt the Kenya Revenue Authority from the provisions of the Data Protection Act. We strongly urge the National Assembly to reject this...
  10. Nyendo

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini. Ujumbe huo ulisomeka kuwa, Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa...
  11. Roving Journalist

    Tanzania: The Personal Data Protection Commission's Board should be independent from any interference - Minister

    Hon. Nape Nnauye "The Minister of Information, Communication and Information Technology, Hon. Nape Nnauye, has officially launched the Board of the Personal Data Protection Commission, urging it to perform its duties in accordance with the law, regulations, and guidelines set, and not based on...
  12. Sildenafil Citrate

    Miongozo bora ya ukusanyaji na matumizi ya Taarifa binafsi za watu

    Mbinu za Taarifa za Haki ni seti ya miongozo ya ukusanyaji na matumizi ya data. Miongozo hii ilipendekezwa kwa mara ya kwanza na kamati ya ushauri kwa Idara ya Afya, Elimu, na Ustawi wa Marekani mwaka wa 1973. Baadaye ilipitishwa na Shirika la Kimataifa la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo...
  13. JamiiForums

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 | The Personal Data Protection Act of 2022

    Sheria kwa ajili ya kuweka masharti kuhusu misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi kwa lengo la kuweka kiwango cha chini cha matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, kuimarisha ulinzi wa taarifa binafsi zinazochakatwa na vyombo vya...
  14. Suley2019

    Dkt. Ndugulile: Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi inakuja

    Picha: Dkt Faustine Ndungulile Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndungulile ameeleza azma ya serikali katika kuanzisha Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection). Dkt. Ndugulile amesema serikali inathamini jambo hili linalozidi kuwa maarufu...
  15. J

    Haribu Nakala za Cheti cha kuzaliwa kabla ya kuzitupa

    Unashauriwa kuharibu nakala (copies) za Cheti cha kuzaliwa ambazo umeshatumia na unahitaji kuzitupa. Cheti huwa na taarifa nyingi muhimu ikiwa zitafika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuzitumia kufanya uhalifu kwa utambulisho wako
  16. J

    Tahadhari: Haribu Waraka wenye jina, namba ya simu na Anuani kabla ya kutupa

    Unashauriwa kuharibu kabla ya kutupa Waraka wowote ambao una jina lako, anuani ya makazi, namba yako ya simu na Anuani yako ya barua pepe Taarifa hizi zinaweza kutumika kufungua Akaunti ya Ulaghai kwa kutumia jina lako
Back
Top Bottom