Nimekuwa nikitafakari sababu zinazopelekea upinzani kuwa dhaifu hapa nchini ukilinganisha na Kenya. Kwa haraka haraka, upinzani umekuwa ukidorora kwa vile CCM imekwisha gundua udhaifu wa wapinzani kuwa ni njaa ya Pesa na vyeo.
Hali inayopelekea kununulika haraka na kukimbilia Chama Tawala...