Ndugu zangu watanzania,
Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa uliojitokeza mbele yake.sasa makundi mbalimbali kutoka kada mbalimbali yameamua kufuata nyayo za walimu .sasa...