Mwanamke anayefahamika kwa jina la Mama Ayubu mkazi wa mtaa wa Banda mbili Kata ya Sombetini Jijini Arusha, anadaiwa amemuua mume wake aitwae Daudi Estomii (45) ikiwa ni baada ya kuwepo kwa tuhuma za muda mrefu kuwa amekuwa akimpiga mwanaume huyo pindi anaporejea nyumbani nyakati za usiku huku...