Akiongea Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Prof Tibaijuka anayejinadi kama mtu wa hoja amesema kuwa wakati wa sakata la Escrow hakusema hela ile (1.6 bil) ni ya mboga Bali wabaya wake ndio waliwanunua waandishi ili wamchafue.
Chanzo: Star TV