Ni hatua zipi za ziada waajiriwa wapya wafuate ili waweze kulipwa pesa zao za kujikimu maana shida zinaonekana ziko kwa ma DT wamefanya zibadilike majina na kuwa pesa za ziada
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Ajira mpya kada ya afya halmashauri nyingi hatujapokea fedha za kujikimu toka November 2024.
Tunaishi mazingira magumu kutokana na kukosa fedha hizo za kuanzia maisha.
Tumetumia gharama kubwa sana kuanzia kwenye usaili, na mchakato mzima wa kuripoti kazini.
Tunaomba serikali ifanyie kazi hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.