๐๐ถ๐๐๐ผ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฃ๐ฒ๐๐ฎ ๐ญ๐ฎ ๐ก๐ผ๐๐ถ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ
Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti kwenye Pesa za Nchi.
Tanzania๐น๐ฟ ilianza kutumia shilingi mwaka 1921 ambayo ilikua ya Afrika mashariki...