Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na...
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
Kero za hii nchi zitatuliwa kwa mifumo Imara ya ufanyaji kazi na Serza nzuri.
Sasa ni Vipi Mkuu wa wilaya anaweza tatua Tatizo la Ajira labda wilayani kwake bila National Policy?
Mkuu wa Mkoa anaweza vipi tatua tatizo la aJira Mkoami kwake? Ana bajeti?
Ni vipi huduma mbovu za Afya ziatatuliwa...
Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye alikuwa anachukua pesa ya umma anawapa wapinzani wamuunge mkono.
Pia soma
Hakuna Rais aliyekuwa...
Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
Habari wakuu wa JF,
Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
Uwazi katika Matumizi ya fedha za Serikali huleta Nidhamu na kuimarisha Utendaji wa Watumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.
Huziba mianya ya Wizi na Ufisadi, pia hutoa Motisha ya kulipa Kodi kwa Wawekezaji na Wafanyabiashara ambao huchangia asilimia kubwa ya pato la...