Ninahitaji kufahamu ukweli kuhusu hawa watu wa UNICEF kutoa fedha kwa watu kupitia humanitarian Foundation kutoka kenya ni kweli au matapeli, maana wanakupa maelekezo kisha kukwambia ili upate fedha za UNICEF unatakiwa ulipie kiasi fulani kinachoendana na kiasi utakachopatiwa mfano ulipie elfu...