pete ya uchumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

    Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024 Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar...
  2. T

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
  3. T

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
  4. T

    Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
  5. T

    Binti mkubwa wa mchungaji shusho"odesia shusho avishwa pete ya uchumba

  6. my name is my name

    Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

    Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa 😉 Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja. Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa...
  7. Pascal Mayalla

    The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

    Wanabodi, Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!. Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali, Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
  8. MEK_TZ

    Kwanini mwanaume anapiga goti anapomvisha pete ya uchumba binti?

    Wakuu natumai wazima wa afya, poleni na majukumu. Nije direct kama mada inavyo jieleza, mara nyingi nimekua nikishuhudia hafra ya kuvisha pete ya uchuma mwanaume kupiga goti chini tofauti na pete ya ndoa makanisani. Ni utamaduni wa kiafrika,,? Ni imani za kidini,,? Msaada kwa wajuzi wa haya...
  9. moyafricatz

    Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

    MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa pete fake. Kuna rafiki wa mchumba wangu nimeongea nae ameniambia pete yangu ni ya elfu 23...
  10. Shabdullah

    Pete ya uchumba ipoje?

    Habari kaka na ndugu zangu, Nimekuja na swali kwenu wanajukwaa nataka kujua kuhusu pete ya uchumba. Sasa nimeingia kwenye penzi la kweli na tunahitaji kuvishana pete ya uchumba. Binafsi mimi ni mgeni sana kwenye suala la pete, sijui hata naanzia wapi, mpaka najiuliza, kwani pete yenyewe...
Back
Top Bottom