Shirika la Afya Duniani (WHO) limemfuta kazi afisa wake na Mwanasayansi aliyeongoza uchunguzi wa chanzo cha Mlipuko wa Ugonjwa wa COVID-19 nchini China baada ya kukumbwa na kashfa ya kujihusisha na tabia chafu za Kingono.
Mwanasayansi huyo anayejulikana kama Peter Ben Embarek amekumbwa na...