DPP AMFUTIA KESI ALIYEJIPATIA BILIONI 5 KWA UDANGANYIFU
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amemfutia kesi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka ya kujipatia Tsh. Bilioni 5.1 kwa njia ya udanganyifu
Ni baada ya kuwasilisha hati ya...