Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya.
"Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo.
Zaidi sana anasema Kibatala...
Lengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania
Hivo ningependa muungane na mm katika kumpongeza wakili huyu nguli na mjuzi wa sheria.
Wakuu,
Ni kuhusu huyu wanayemwita wakili msomi.. Yaani Peter Kibatala. Kila siku nasikia Kibatala, Kibatala. Tujuzane wakuu.
CV yake
Kashinda kesi ngapi?
Kashindwa kesi ngapi?
Tujuzane tumjue huyu wakili anayeitwa msomi
======