Wakili Peter Madeleka nimekusikia leo ukiwa unaongea ukiwa mahakama ya Kisutu. Ulikuwa unaongelea kuhusu dhamana ya Dkt. Slaa. Nimekuelewa kuwa ulikuwa unaongea utani na dhihaka kama kufikisha ujumbe fulani dhidi ya Mahakama isiyo na meno kwa serikali, mahakama ya Tanzania.
Sijafurahishwa na...
Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo."
===================================
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
Wakili wa Kujitegemea nchii, Peter Madeleka, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikia mwisho wa mchango wake katika siasa za mageuzi na hana jipya la kutoa katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini.
Akizungumza na Jambo TV, Madeleka amesema...
Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025.
"Wako watu ambao wanasema, na sidhani kama wako sahihi sana, lakini inawezekana ni nadharia tu ambazo zinapaswa kuthibitishwa vinginevyo na...
Wakili Peter Madeleka ambaye ni mwanasheria wa Juanna Chifunda amesema uharibifu uliofanyika kwenye fremu za maduka Mikocheni B ni uvamizi na wahusika watawawajibisha kwa mujibu wa sheria na ikiwemo mteja wake kidai fidia isiyopungua Shilingi bilioni mbili (2,000,000,000).
Wakili Madeleka...
https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
Hatua ya baadhi ya wananchi kujitokeza na kumchangia mamilioni ya Shilingi Wakili maarufu, Peter Madeleka kwa ajili ya kuendelea na kesi ya anayetajwa ‘afande’ jijini Dodoma, imeelezwa kuwa inaonyesha kiu ya haki ilivyo kubwa miongoni mwa wananchi.
Shauri hilo la malalamiko namba 23627 dhidi ya...
Wewe umejinasibu kuwa utafungua kesi kwa gharama zako hadi uhakikishe kesi ya Afande unashinda, watu wakakupongeza sana, leo kesi inatajwa huko Dodoma unapost kwenye page yako kuwa hujaenda kwa sababu huna hela.
Uko serious kweli? Wewe na kiboko ya wachawi mna tofauti gani?
=======
Soma...
Hayo ni maoni ya Wakili maarufu wa kutetea haki za binadamu
Wakili Peter Madeleka ameshauri ufanyike usahili wa utimamu wa akili kwa Askari Polisi waliopo kwenye Majeshi.
Wakili Madelekea amesema ili kuweza kusaidia ni wa ngapi wana akili timamu ili kutumikia Majeshi yetu,ili wale wanao...
Madeleka amendika katika ukurasa wake wa x;
Nataka nimwambie Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ikiwa ndani ya SAA 24 kuanzia sasa, ATASHINDWA kuwapeleka MAHAKAMANI hao MASHETANI, kwa KISINGIZIO CHOCHOTE KILE, mimi PETER MADELEKA, nitafanya WAJIBU huo kwa FEDHA ZANGU. Hatuwezi kuwa taifa la...
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter
====
Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili.
Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua...
Ameandika Wakili msomi.
👇
"Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X
Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta...
Kupitia mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika kuwa
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Arusha (A.R. NDOSSY-SRM) AMEKATAA kutoa HATI YA WITO (Summons) Kwa WASHITAKIWA hapo , KINYUME kabisa cha vifungu 128(2), (4), (5) , 100(2) na 130 vya CPA. Awali MALALAMIKO hayo yalipokelewa kwa...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
Pia soma > Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama...
Ameandika kwenye ukurasa wake wa X
Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo 👇. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 hatua nyingine za KISHERIA ziendelee.
Hatua hiyo nimeichukua chini ya kifungu cha 128(2) na...
Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano.
Madeleka ameeleza kuwa ana...
Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi.
Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate'
Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote...