Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana.
Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...