"Hauwezi ukawa unatajwa wewe ni muuaji alafu tukawa tunakuangalia tu, yani wewe umekuwa Malaika mtoa roho au?? Kila anayepotea akirudi anakutaja wewe aliyetekwa akibahatika kutoka salama anakutaja wewe mashahidi wanakutaja wewe, wewe umekuwa nani haswa??
Kama tumekupa jukumu la kulinda usalama...