Peter msechu hili waliokufa kariakoo halijamuuma?
Au kwenye misiba ya viongozi wakifa kuna per diem anapata? Ila akiimba hili la kariakoo hamna chochote kitu?au mwana ni msaka tonge?
Peter anapaswa asome vitabu na kutazama makala ñyingi ili apate maarifa ya kuutumia unene wake kujiingizia mkwanja na kupata umaarufu ambao pia utazidi kumpa dili za hela
Moja ya sehemu ambayo Peter anaweza kuitupia jicho ni michezo hasa ya kurusha na kunyanyua vitu vizito
Hapa kama Peter...
Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini,
Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya kusema atawataja wauza udaga, Langa, Mangwea walijiwahisha mbele za haki sababu ya udaga, huenda...
Msanii Peter Msechu amefanikiwa kupunguza uzito wa kilo saba ndani ya siku saba tangu alipowekewa puto na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila ili kumsaidia kupunguza uzito.
Msechu aliwekewa puto hilo Januari 25, 2023 akiwa na uzito wa kilo 143.4 lakini kufikia leo Februari Mosi 2023...
Peter Msechu amefanyiwa matibabu ya kuweka puto tumboni ili kupunguza uzito na unene inayoendelea kutolewa katika hospitali ya Mloganzila.
Peter Msechu amefunguka machache kuhusiana na changamoto ya kuwa na uzito wa kupitia kiasi kama ifuatavyo
"Watu wananisema sana mtandaoni kuwa Mimi ni mnene...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.