peter msigwa ccm

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010. Although he was formerly a member of CHADEMA, he joined the ruling party CCM in June of 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kwanini Peter Msigwa anamchukia sana Freeman Mbowe wakati ndiye mtu aliyembeba kisiasa na kumsaidia sana?

    Ndugu zangu Watanzania, Mnyonge Mnyongeni lakini Haki yake Mpeni. Ni kweli Mimi Mwashambwa Lucas ni Mwana CCM kindakindaki ,tena mwana chama lialia wa CCM.ambaye kila mtu anafahamu hilo popote pale niwapo. Lakini Ukweli ni Kuwa sisi wana CCM tuna Amini kabisa kuwa kama kuna mtu amewakuza...
  2. Zanzibar-ASP

    Tetesi: Msigwa ajiandaa kuondoka CCM ikiwa safari hii mkeka wa mama hautamkumbuka?

    Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema. Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya...
  3. J

    Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

    Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan Pia soma: Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu Alizaliwa Juni 8...
Back
Top Bottom