NI aibu kwa Mkuu wa mkoa Iringa kutetea wabadhirifu wa fedha za umma mkoani Iringa, jengo la bwalo tayari zimeshatafunwa sh milioni 431 ujenzi hauleweki Mkuu wa Mkoa yupo tu anapunga kiyoyozi ndani ya ofisi.
Madawati yaliyotengenezwa hayana ubora, mkuu wa mkoa unatetea waliofanya kazi hiyo ...