Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.
Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.