petro magoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Petro Magoti: Kama mbunge alikuwa hafanyi ziara kusikiliza kero za wananchi, msimchague

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi. Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  2. Pre GE2025 Mhamasishaji Michael Msechu na DC Petro Magoti wakutana kufanya ziara ili kuhamasisha vijana kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

    Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  3. N

    RC Chalamila, Umeshindwa kujifunza kwa Paul Makonda na Petro Magoti?

    Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani. Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
  4. Pre GE2025 DC Magoti akabidhi kipaza sauti kitangaze mikutano yake

    Wakuu, Vitu vingine mpaka vinachekesha, ni zaidi ya vituko!:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  5. LGE2024 DC Petro Magoti: Waliokosa nafasi za kuiwakilisha CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa acheni nongwa na fitina

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ambaye pia ni Kamisaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewasihi wanachama wa CCM waliokosa uteuzi kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi wa Novemba 27, 2024, kuacha 'makandokando' na fitina badala yake waungane pamoja kuwatetea na...
  6. Kisarawe: Mwamposa, Jaffo, LT.COL Kombo, waungana na DC Petro Magoti Siku ya Wazee Duniani

    SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
  7. Kama Petro Magoti Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Jaffo asigombee, Ubunge achukue Kingwendu....wana Kisarawe watakuwa wanapasuka mbavu kila siku

    Kama hii line up ikitiki, nadhani Kisarawe itatosha kutengeneza content wanazopenda watanzania, ila mpaka karata za kisiasa ziende sawa, wote tuseme ameen. Sasa ole wenu watumishi msiojua kubana cheko zenu vikaoni
  8. N

    Kongole Mkuu wa Wilaya Petro Magoti

    Najivunia sana kijana Petro Magoti aliyeteuliwa siku za karibuni kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe. Natamani wakuu wote wa wilaya wangeiga namna na jinsi anavyotenda na kuwajibika katika nafasi yake. Kwanza anasimamia usalama wa watu wake, pili anafatilia miradi katika wilaya yake (anaingia field...
  9. Pre GE2025 DC wa Kisarawe, Petro Magoti achangia Mifuko 300 ya Saruji Ujenzi wa bweli la Msikiti, ahimiza na wengine wachangie ili Watoto Warudi mapema kusoma

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa mifuko ya saruji 300 akianza kutanguliza mifuko 150 kwa ajili ya ujenzi wa bweni (hosteli) litakalotumika kwa ajili ya Watoto wanaopata mafunzo ya Dini ya Kiislamu Wilayani hapo ikiwa ni siku mbili tangu alipotoa maelekezo ya kusitishwa kulaza...
  10. M

    Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

    Amani iwe nanyi. Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo...
  11. Petro Magoti kupiga marufuku pikipiki kubeba mkaa, nimewaza Mtanzania wa hali ya chini na namna sahihi ya kuwa na hekima juu ya sera ya mazingira

    Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika wilaya ya Kisarawe. Nimewaza sana na roho imezidi kuniuma sana juu ya hekima ya hawa viongozi wetu...
  12. J

    Vigogo 3 kufukuzwa Ikulu kwa wakati mmoja ina maana gani?

    VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano. Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…