Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani na baadae akaanza kuuza kwenye soko la ndani.
Mpaka anafariki dunia alikuwa mkurugenzi mtendaji wa...