Wakuu,
Naona huu msiba wa Profesa Sarungi unaendelea kukutanisha magwiji mbalimbali wa siasa hapa nchini.
Soma pia: Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, akiwemo Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia
Lissu katika msiba huo amekutana na...
Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.
Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga...
Wakuu,
Leo tarehe 06 Machi 2025 Makamu Mwenyekiti Bara wa CHADEMA John Heche na Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Gulogwa wamefika nyumbani kwa marehemu Prof. Phillemon Mikol Sarungi kutoa pole kwa familia.
Prof. Phillemon Mikol Sarungi amefariki jana tarehe 05 Machi 2025.
Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani Profesa Sarungi amefariki dunia
Habari hii imethibitishwa pia na mwanaye Maria sarungi pamoja na msemaji wa familia, Martin Leonard Obwago Sarungi.
Prof. Philemon Sarungi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89.
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Rorya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.