Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves au ku-sanitise mikono. Unakuta anaingia na kutoka Maabara na kwenda kupeleka majibu ya vipimo kwa...